ZEKI Early Access โ†—
ZEKI Market Discovery

Biashara yako ionekane. Pata wateja zaidi. Nunua na uza kwa urahisi.

Tunajenga ZEKI ili biashara yako iweze kugunduliwa na wateja wanaotafuta bidhaa zako, kupokea oda moja kwa moja, kupata suppliers na kusimamia mauzo, bidhaa na manunuzi katika sehemu moja.

Tusaidie kujenga ZEKI inayotatua changamoto halisi za biashara yako. Jibu utafiti huu mfupi wa wafanyabiashara wa Dar es Salaam.

Hakuna jina linalohitajikaHakuna namba ya simuTakribani dakika 3โ€“5

Commercial Pilot: Tunatarajia kuanza Novemba 2026, kwa hatua katika Dar es Salaam, kutegemea utayari wa huduma.

Utafiti mfupi wa wafanyabiashara

Majibu yako yatatusaidia kuelewa changamoto za soko. Kujaza survey hii si usajili wa Early Access.
Anonymous survey
1. Unafanya biashara ya aina gani? *
2. Biashara yako ipo wilaya gani? *
3. Unanunua bidhaa za biashara mara ngapi?
4. Ni bidhaa zipi unapata shida kuzipata?

Andika hadi bidhaa 5, ukitenganisha kwa koma. Usijumuishe taarifa binafsi.

5. Changamoto kuu za kupata bidhaa ni zipi?

Chagua zote zinazohusika.

6. Kwa kawaida unanunua bidhaa zako wapi?
7. Ni bidhaa zipi ungependa kupata taarifa za bei mara kwa mara?

Hiari; unaweza kuacha wazi.

8. Biashara yako ina uwepo mtandaoni?

Chagua njia zote unazotumia kutangaza au kuuza bidhaa.

9. Je, unapata wateja wanaonunua kwa njia ya mtandao bila kufika dukani?
10. Je, unatumia software au mfumo wowote kuendesha biashara yako?

Mfano: POS, inventory, accounting au mfumo wa kusimamia mauzo.

11. Una maoni mengine ya kuboresha upatikanaji wa bidhaa?
๐Ÿ”’ Hatuombi jina, simu wala email. Majibu yatatumika kwa utafiti wa mahitaji ya soko na kupanga huduma. Epuka kuandika taarifa zinazoweza kukutambulisha kwenye sehemu za maandishi. Utafiti huu hautoi ahadi ya bidhaa, bei au huduma katika eneo lako.

Hatua inayofuata

Kuwa miongoni mwa wa kwanza kutumia ZEKI.

Tunajiandaa kuleta ZEKI kwa wafanyabiashara. Je, ungependa kuwa wa kwanza kupata nafasi ya kuijaribu, kufanya biashara yako ionekane kwa wateja, kupokea oda moja kwa moja na kutumia zana za kusimamia biashara yako?

Jisajili kwa ZEKI Early Access โ†’

Usajili ni wa hiari na ni tofauti na kujaza survey. Kujiandikisha hakuhakikishi upatikanaji wa huduma mara moja.